W
WenacyInaendeshwa na Mzalendo Pay
Pokea pesa kwa API moja rahisi.
Wenacy ni gateway nyepesi kwa developers wa Tanzania. Jisajili, chukua API key yako, na anza kupokea malipo ya mobile money ndani ya dakika chache.
Mfano wa muamala
curl -X POST https://wenacy.app/api/public/v1/charge \
-H "x-api-key: wen_live_xxxxxxxx" \
-H "Content-Type: application/json" \
-d '{
"amount": 5000,
"phone": "255712345678",
"reference": "ORDER-1001"
}'API rahisi
Endpoint moja ya kutoza, moja ya kuangalia hali, na callback yako.
Dashboard ya developer
Ona salio, miamala yote, na simamia API keys zako mahali pamoja.
Withdrawal salama
Omba kutoa pesa, admin anaidhinisha mwenyewe kabla ya malipo.